Loading...
title : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
link : RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
Mbunge wa Chalinze, Ridhiwani Kikwete akizungumza baada ya kumaliza Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
Mmoja ya Wadau kutoka Tasisi ya K Innovates Nasra Kaseja akizungumzia umuhimu wa kuwasaidia watoto yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu kata ya Msoga.
Mshereshaji Masoud Kipanya akizungumza juu ya utaratibu na umuhimu wa kufutirisha makundi ya watu maalum katika kipindi hichi cha Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akiwa ana swali kabla ya Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watoto yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete akipakuwa chakula wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
Wadau wa Tasisi ya Ko Innoavate Pink Ijab wakiwa katika picha ya kabla ya Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Msoga
Mbunge wa Chalinze Ridhiwani Kikwete katikati akiwa na Wadau waliotoa Vifaa kwa ajili ya Watoto Yatima wakati wa Iftar iliyoandaliwa na Tasisi ya Ko Innoavate kwa kushirikiana na Ofisi ya Mbunge wa Chalinze kwa Vituo Vitano vya Watototo Yatima Iftar hiyo ilifanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu Msoga
Baadi ya wadau waliofika katika Iftar iliyofanyika nyumbani kwa Rais Mstaafu.
Hivyo makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA
yaani makala yote RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/ridhiwani-apata-futari-na-vituo-vitano.html
0 Response to "RIDHIWANI APATA FUTARI NA VITUO VITANO VYA WATOTO YATIMA NYUMBANI KWAO MSOGA"
Post a Comment