Loading...
title : Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
link : Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
Kijana Hamad Juma wa kwanza kulia kutoka baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Furaha Wilaya ya Chake Chake, akiwa na wenzake wakiwashikilia ngombe waliokabidhiwa na shirika la DIRECT AID wenyethamani ya shilingi laki tatu (300,000/=) kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.
Afisa Mipango Wizara ya Vijana Utamaduni Sanaa na Michezo Pemba, Omar Juma Ali akimkabidhi ng'ombe mmoja wa Vijana kutoka Baraza la Vijana Shehia ya Mvumoni Wilaya ya Chake Chake, waliotolwa na Shirika la DIRECT AID wenye thamani ya shilingi laki tatu (300,000/=)kwa lengo la kuwasaidia vijana hao kuondokana na umaskini.(Picha na Abdi Suleiman - Pemba).
Hivyo makala Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba.
yaani makala yote Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/shirika-la-direct-aid-lakabidhi-ngombe.html
0 Response to "Shirika la Direct Aid Lakabidhi Ngombe Kwa Vijana Kisiwani Pemba."
Post a Comment