Loading...

SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI.

Loading...
SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI.
link : SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI.

soma pia


SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI.

Na Frankius Cleophace Serengeti.

Shirila la RIGHT TO PLAY linaendelea na Matamasha katika Kata Mbalimbali Wilayani Serengeti Mkoani Mara kwa lengo la kutoa Elimu kwa jamii ili kuondokana na Masuala ya Ukatili wa Kijinsia dhidi ya Watoto.

Elimu hiyo inayotolewa inazungumzia Masuala ya Kupiga Vita Ukeketaji kwa Mtoto wa Kike, Mimba za Utotoni, Vipigo kwa Watoto, Kuchomwa Moto pamoja na kuhakikisha wanapata haki ya Elimu bila kubagua Jinsia.

Akizungumzia juu ya Tamasha lililofanyika kata ya Uwanja wa Ndege, Leah Kimaro kutoka Shirika la RIGHT TO PLAY amesema kuwa Lengo la Shirika ni kuhakikisha wanabadili Mitazamo ya Jamii ili kuondokana na Mila na Desturi ambazo zimepitwa na Wakati ili kumkomboa Mtoto wa Kike ambaye kwa Serengeti amekuwa akiachwa Nyuma kutokana na Mila hizo.

Josepha Dismas ni Afisa Maendeleo yaJ amii kata ya Uwanja wa Ndege ame Wilayani Serengeti ,ameitaka jamii kuendelea kuthamini watoto wote bila Ubaguzi wowote na kuahidi kuwa wao kama Serikali wataendelea Kushirikiana na Mashirika ili kuipatia Jamii Elimu iliyokusudiwa.

“Hii Elimu inayotolewa kupitia Michezo Mbalimbali Ukiwemo Mpira wa Miguu kwa Wasichana jamii inazidi kuamini kuwa Mtoto wa kike anaweza bila kuwezeshwa hivyo sasa ni jukumu letu kama viongozi ngazi za jamii kushiriki kikamilifu na kuzidi kulaani Vikali ukatili unaofanyika kwa Watoto” alisema Josepha.

Pia Afisa Maendeleo ameongeza kuwa Michezo hiyo imezidi kukusanya Watoto Wengi na Maudhulio kuongezeka Mashuleni hivyo wazazi wameombwa kuruhusu Watoto wao ili washiriki Michezo.
Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii kata ya Uwanja wa Ndege  Josepha  Dismas akikabidhi Kapteni wa Timu ya  Senta FC baada ya kushinda Timu ya  Burunga FC.
Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii kata ya Uwanja wa Ndege  Josepha  Dismas akikabidho Kombe kapteni wa Timu ya  Vilaza Fc baada ya kushinda Timu ya Vibonde FC.
Mgeni rasmi ambaye ni Afisa Maendeleo ya Jamii kata ya Uwanja wa Ndege  Josepha  Dismas akikabidhi Zawadi ya Madaftari kwa Wanafunzi hao walioshiriki Vyema katika Michezo iliyofanyika Maeneo hayo.
Wavulana wakicheza Mpira wa Pete.


Hivyo makala SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI.

yaani makala yote SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/shirika-la-right-to-play-watumia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SHIRIKA LA RIGHT TO PLAY WATUMIA MICHEZO KUPINGA UKATILI SERENGETI."

Post a Comment

Loading...