Loading...

UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

Loading...
UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA
link : UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

soma pia


UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

Ofisi ya Mkuu wa Mkoa  wa Kagera kupitia Jeshi la Uhamiaji Mkoa wa Kagera imezindua rasmi pasipoti ya kielektroniki kwa wananchi na wakazi wa Mkoa huo. Tayari pasipoti hizo zimeanza kutolewa tarehe Junin7, 2018 katika hafla  iliyohudhuriwa na viongozi mbalimbali wakiwemo wakuu wa wilaya, maafisa kutoka jeshi la Uhamiaji, viongozi wa dini, wananchi na wadau wa Idara ya Uhamiaji katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.
Katika hotuba yake Mgeni Rasmi Mkuu wa Mkoa Kagera Meja Jenerali Mstaafu Salum Kijuu iliyotolewa na mwakilishi wake Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Mh. Deodatus Kinawiro, amewataka wananchi kujitokeza kwa wingi kuchangamkia huduma hii ya pasipoti huku akitaja faida lukuki za kuwa na pasipoti ya aina hii. miongoni mwa faida hizo ni pamoja na kukidhi matakwa ya usalama wa Nchi, na pia kukidhi viwango vinavyopendekezwa na shirika la Umoja wa Mataifa linalosimamia mambo ya anga.
Kwa mujibu wa idara ya Uhamiaji mpaka sasa tayari Jeshi la Uhamiaji limekwishatoa jumla ya pasipoti 17,598 zikiwemo pasipoti za kawaida, Utumishi, Diplomasia, na Diplomasia maalum tangu zoezi hili lilipozinduliwa Rasmi mapema Januari 31 mwaka huu, na Mh. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli.
​Muonekano wa viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga, katika uzinduzi wa pasipoti ya kielektroniki Mkoani Kagera m ​apema Juni 8, 2018.
Kamishna wa pasipoti na Uraia afande Gerlad Kihiga amesema katika hafla hiyo kwamba pasipoti hiyo imetengenezwa kwa viwango na ubora wa hali ya juu na haiwezi kugushiwa kitrahisi kwani ina kifaa maalumu ndani yake hivyo itamsaidia msafiri  kutumia E-gates pasipo kuweka msongamano, ikiwa na mfanano wa pasipoti nyingine za Afrika mashariki hivyo unaweza kupata usaidizi ubalozi wowote  katika nchi wanachama, na huku tahadhari ikitolewa kwa wale ambao huwasaidia raia ambao si watanzania kupata pasipoti, kwa atakaebainika pasina kujali ni atachukuliwa hatua kali za kisheria.
Kwa wale wanaotumia simu janja tayari ipo app ya pasipoti ambayo mwananchi yeyote anaweza kupakua app hiyo katika simu yake na kujaza taarifa zake, au kuangalia taarifa zake.
 ​Sheikh wa Mkoa Kagera Alhaji Haruna Kichwabuta akiomba dua wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.
 Askofu Msaidizi Jimbo la Bukoba Methodius Kilaini akiomba sala wakati wa ufunguzi wa hafla hiyo katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.

  Kamishna wa pasipoti na Uraia afande Gerlad Kihiga akikabidhi pasipoti ya kwanza Kagera kwa Mkuu wa Wilaya Mh. Deodatus Kinawiro kwa niaba ya mgeni rasmi katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.
Mkuu wa wilaya ya Bukoba, Mh. Deodatus Kinawiro akimkabidhi pasiposti Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bukoba Ndg. Zachwa katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.

Mkuu wa Wilaya ya Bukoba akikabidhi Pasipoti kwa Askofu Mkuu wa jimbo la Bukoba Desderius Lwoma katika viwanja vya Uhuru platform maarufu kwa Mayunga mjini Bukoba.


Hivyo makala UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA

yaani makala yote UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/uzinduzi-wa-pasipoti-ya-kielektroniki.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "UZINDUZI WA PASIPOTI YA KIELEKTRONIKI MKOA WA KAGERA WAFANA"

Post a Comment

Loading...