Loading...

WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII

Loading...
WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII
link : WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII

soma pia


WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII

Na Rhoda EZEKIEL kigoma,

VIJANA wanaohitimu mafunzo ya awali ya kujitolea ya oparesheni Mererani ya Jeshi la Kujenga Taifa(JKT)Kambi ya Bulombola 821KJ kuwa mfano wa kuigwa na jamii wanayoenda kuishinayo pamoja na kujikita katika shughuli za uzalishaji mali ili kufikia azma ya Rais wa Serikali ya Awamu ya tano Dk.John Magufulu kuifikisha Tanzania katika uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025 na kuwa Tanzania ya viwanda.

Mwito huo ulitolewa jana na Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Brigedia General Marko Gaguti katika sherehe za kuhitimu mafunzo ya awali ya kijeshi katika kambi hiyo wilayani Uvinza mkoani Kigoma na kuwataka kutumia stadi za kazi wanazofundishwa, na kuwa mfano kwa vijana wengine na kusaidia Serikali kufikia uchumi wa kati ifikapo mwaka 2025.

Brigeda Jenerali Gaguti amesema mafunzo waliyoyapata vijana yanawafanya kuwa wazalendo na vijana wanaojishughulisha na shughuli mbalimbali za maendeleo na kutoa mwito kuwa mafunzo hayo waliyoyapata wayatumie kujijenga kiuchumi na kujiajiri wenyewe ili kuanzisha viwanda na kuwa na uchumi wa kati.

"Nitoe rai vijana mliohitimu mafunzo haya muwe vijana mnaowaza mtaifanyia nini Tanzania na si Tanzania iwafanyie nini, na vijana wenye uthubutu mtakaosaidia kutoa suluhu kwa changamoto ya vijana nchini na si sehemu ya matatizo ya vurugu na mtoe darasa kwa vijana wengine kufanya matendo mema,"amesema Jenerali Gaguti.

Kwa upande wake Kamanda wa Kikosi cha 821KJ kambi ya Bulombola Luteni Kanali Rashidi Kanole amesema vijana waliohitimu mafunzo hayo ya oparesheni Mererani ni vijana 839 ambapo wavulana 55 na wasichana 284 ambao wamehitimu mafunzo ya awali ya kijeshi na watatakiwa kuendelea kuwepo katika kambi hiyo kujifunza stadi za maisha .
Aidha amewataka vijana hao kuzingati nidhamu waliyoelekezwa na wakufunzi wao na kuendelea kushiriki katika shughuili za maendeleo katika kambi hiyo kwani kambi hiyo inajishughulishana shughuli za kilimo cha michikichi na alizeti kwa ajili ya kuwajenga vijana wanaoingia katika mafunzo kambini hapo kujiajiri wenyewe baada ya mafunzo.

Wakati huohuo Mwakilishi Mkuu wa Jeshi la kujenga Taifa Kanali Juliusi Kadawi amesema vijana wanatakiwa kuisaidia Serikali katika masuala ya ulinzi na usalama na kuwa vielelezo kwa vijana wengine ambao bado hawajapata mafunzo hayo, kwani wakufunzi waliowafundisha vijana hao wamefanya kazi kubwa na kutokana na maonyesho walionesha yanaonesha jinsi gani walivyopikwa ipasavyo.



Hivyo makala WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII

yaani makala yote WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/wahitimu-mafunzo-ya-awali-ya-kijeshi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAHITIMU MAFUNZO YA AWALI YA KIJESHI KAMBI YA 821 KJ WAHIMIZWA KUWA MFANO WA KUIGWA KATIKA JAMII"

Post a Comment

Loading...