Loading...

Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

Loading...
Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
link : Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

soma pia


Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Balozi Dkt. Augustine Mahiga akimkaribisha Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa katika Maziwa Makuu Mhe. Said Djinnit alipomtembelea Wizarani terehe 13 Juni 2018, Dar es Salaam. Anayeshuhudia kushoto ni Mratibu Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa, Bw. Alvaro Rodriguez.

Mjumbe huyo alifika Wizarani kwa lengo la kuzungumzia hali ya usalama na amani katika nchi za Maziwa Makuu.Aidha, mjumbe huyo alimuomba Mhe. Waziri kufikisha shukrani zake kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. John Pombe Magufuli kwa mchango mkubwa wa Tanzania katika kusaidia kutunza amani ya nchi za Maziwa Makuu.

 Mhe. Waziri Mahiga akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mhe.Djinnit.
Mkutano ukiendelea, wanaoshuhudia ni Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Afrika Bw. Salvatory Mbilinyi(wa kwanza kulia kwa Waziri), Bw. Ally Ubwa Afisa Mambo ya Nje na Bw. Magabilo Murobi Katibu wa Waziri na kushoto ni Ujumbe wa Mhe. Djinnit alioongozana nao.


Hivyo makala Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa

yaani makala yote Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-afanya-mazungumzo-na-mjumbe.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Waziri afanya mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa"

Post a Comment

Loading...