Loading...
title : WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA
link : WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA
WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA
Mke wa Waziri Mkuu, Mama Mary Majaliwa akisalimiana na Mkuu wa wilaya ya Nyamagana, Mary Tesha wakati alipowasili kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza kushiriki katika futari iliyoandaliwa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa Juni 9, 2018.
Sehemu ya wakazi wa jiji la Mwanza wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza katika futari aliyoiandaa kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza Juni 9, 2018.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofuturisha kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza Juni 9, 2018. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akishiriki katika dua iliyoongozwa na Sheikh Khamis Almasi (wanne kushoto) baada ya kufuturisha kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza Juni 9, 2018. Wengine kutoka kushoto ni Naibu Waziri TAMISEMI, Joseph Kakunda, Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella, Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Jamal Abdul Babu na Mwenyekiti Mwenza wa Kamati ya Amani inayojumuisha viongozi wa dini zote ya mkoa wa Mwanza, Askofu Charles Sekelwa.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Naibu Spika wa Bunge, Dkt. Tulia Ackson Mwansasu baada ya kufuturisha kwenye viwanja vya Benki Kuu jijini Mwanza Juni 9, 2018. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Hivyo makala WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA
yaani makala yote WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-mkuu-mhe-kassim-majaliwa.html
0 Response to "WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA AFUTURISHA JIJINI MWANZA"
Post a Comment