Loading...

WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA

Loading...
WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA
link : WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA

soma pia


WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (aliyevaa skafu shingoni) akiingia katika Kituo cha Polisi Chipanga, Wilaya ya Bahi, mkoani Dodoma, wakati alipofanya ziara ya kukikagua kituo hicho ambacho kilijengwa na wananchi lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki moja kwa Jeshi la Polisi Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani humo, kufanya tahmini ya makadirio ya marekebisho ya ujenzi wa Kituo hicho, ili kiweze kufunguliwa kwa uharaka haraka. Kulia aliyevaa kaunda suti ni Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badueli. Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (kushoto) akijadiliana jambo na Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badueli, wakati walipokua ndani ya Kituo cha Polisi Chipanga ambacho kilijengwa na wananchi lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki moja kwa Jeshi la Polisi Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani humo, kufanya tahmini ya makadirio ya marekebisho ya ujenzi wa Kituo hicho, ili kiweze kufunguliwa kwa uharaka haraka

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chipanga, wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, leo, wakati alipofanya ziara ya kukikagua Kituo cha Polisi Chipanga ambacho kilijengwa na wananchi hao lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki moja kwa Jeshi la Polisi Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani humo, kufanya tahmini ya makadirio ya marekebisho ya ujenzi wa Kituo hicho, ili kiweze kufunguliwa kwa uharaka haraka. 
Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badueli, akimpa taarifa Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (watatu kulia), kuhusu historia ya Kituo cha Polisi Chipanga ambacho kilijengwa na wananchi lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki moja kwa Jeshi la Polisi Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani humo, kufanya tahmini ya makadirio ya marekebisho ya ujenzi wa Kituo hicho ili kiweze kufunguliwa kwa uharaka haraka
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akizungumza na wananchi wa Kijiji cha Chipanga (hawapo pichani), wilayani Bahi, Mkoa wa Dodoma, leo, wakati alipofanya ziara ya kukikagua Kituo cha Polisi Chipanga ambacho kilijengwa na wananchi hao lakini hakikufunguliwa tangu mwaka 2005 kutokana na sababu mbalimbali. Hata hivyo, Dk. Mwigulu ametoa wiki moja kwa Jeshi la Polisi Dodoma na Halmashauri ya Wilaya ya Bahi mkoani humo, kufanya tahmini ya makadirio ya marekebisho ya ujenzi wa Kituo hicho, ili kiweze kufunguliwa kwa uharaka haraka. Kulia ni Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badueli, na kushoto ni Mwenyekiti wa Kijiji cha Chipanga A, Ologa Masaulwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba (katikati) akiwa katika picha ya pamoja na viongozi wa Jeshi la Polisi, Wilaya ya Bahi wakati alipofanya ziara ya kukikagua kituo cha Polisi Chipanga. Kushoto ni Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Dodoma, SSP Maxi Muhindi, Kulia ni Mkuu wa Jeshi hilo Wilaya ya Bahi, SP Mahemba Kavalambi, na wapili kulia ni Mbunge wa Jimbo la Bahi, Omary Badueli.


Hivyo makala WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA

yaani makala yote WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/06/waziri-mwigulu-atoa-wiki-moja-kwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "WAZIRI MWIGULU ATOA WIKI MOJA KWA POLISI DODOMA, OFISI YA MKURUGENZI BAHI KUMPA TATHMINI MAREKEBISHO UJENZI KITUO CHA POLISI CHA CHIPANGA"

Post a Comment

Loading...