Loading...
title : BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200
link : BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200
BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango akipokea picha ya alama ya ushirikiano ya kiasi cha Dola 500 kutoka kwa Afisa mwandamizi wa Benki ya Suisse ya Uingereza Bi. Elizabeth Muchemi, katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Mchumi Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Omary Khama (kulia), anayeshughulika na maswala ya uchambuzi wa madeni akimwelezea Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) (wa pili kulia) kuhusu miradi mbalimbali itakayotekelezwa kutokana na pesa iliyopatikana, katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (Mb) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Benki ya CREDIT SUISSE.
Waziri wa Fedha na Mipango Dkt. Philip Isdor Mpango (kulia) akimshukuru Mkurugenzi Mkuu wea Benki ya Suisse Bw. Lawrence B. Fletcher kwa mikopo mbalimbali ambayo Benki hiyo imetoa kwa Serikali ya Tanzania katika Sekta mbalimbali, katika Ukumbi wa Wizara ya Fedha na Mipango Jijini Dar es Salaam.
Hivyo makala BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200
yaani makala yote BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/benki-ya-credit-suisse-kuipatia.html
0 Response to "BENKI YA CREDIT SUISSE KUIPATIA TANZANIA MKOPO WA DOLA MILIONI 200"
Post a Comment