Loading...

BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII

Loading...
BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII
link : BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII

soma pia


BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII

Rais Abdel- Fattah el- Sissi 
Bunge la Misri limepitisha sheria tata inayolenga kudhibiti mitandao maarufu ya kijamii inayochapisha habari za uongo.

Mswada huo uliopitishwa Jumatatu wiki hii unaliwezesha bunge kuzuia akaunti binafsi ya mtu katika mitandao ya kijamii iliyo na wafuasi zaidi ya 5,000 kutokana na kuchapisha taarifa za uongo.

Hata hivyo muswada huo lazima usainiwe na Rais Abdel- Fattah el- Sissi ili uwe sheria.

Chini ya utawala wa el-Sissi Misri imewatia mabaroni , kuwashitaki na kuwafunga waandishi wa habari kutokana na makosa ya mitandao ya kijamii.

Iwapo muswada huo uatasainiwa kuwa sheria baraza la juu la habari nchini humo litasimamia akaunti maarufu katika mitandao ya kijamiii zitakazokuwa zikiendeshwe kama vyombo vya habari.

Waandishi wa habari wasio na mipaka waliitaja Misri kuwa ya 161 kati ya nchi 181 kwenye orodha yake ya mwaka 2017 ya Uhuru wa vyombo vya habar


Hivyo makala BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII

yaani makala yote BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/bunge-lapitisha-sheria-tata-kubana.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "BUNGE LAPITISHA SHERIA TATA KUBANA MITANDAO YA KIJAMII"

Post a Comment

Loading...