Loading...

CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170

Loading...
CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170
link : CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170

soma pia


CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170


Chama Cha Mapinduzi kimetangaza kuvuna wanachama 170 wa upinzani wilaya ya Moshi vijijini mkoani Kilimanjaro, huku kikijigamba kwamba tukio hilo ni ishara ya kuvunja ngome ya Mbunge wa Vunjo, James Mbatia  (NCCR- Mageuzi).

Mbatia aliibuka mshindi katika uchaguzi wa mwaka 2015 na kuwabwaga, washindani wake wa karibu, Innocent Melleck Shirima (CCM) na Augustino Mrema (TLP).

Wanasiasa hao wamedaiwa kupokelewa na Katibu wa CCM mkoa wa Kilimanjaro, Jonathan Mabihya katika kata ya Njiapanda Mashariki.

Wanachama wanaodaiwa kutoka vyama vya Chadema, NCCR-Mageuzi pamoja na CUF katika mkoa huo.Akizungumza baada ya kuwapokea wanachama hao na kuwapa kadi za CCM, Mabihya aliwapongeza kwa maamuzi waliyochukua.

Kwa upande wake, Katibu Mwenezi wa CCM wilaya ya Moshi vijijini, Hussein Jamal alisema wilaya hiyo ina majimbo mawili ya Vunjo na Moshi vijijini.


Hivyo makala CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170

yaani makala yote CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ccm-yaivunja-ngome-ya-james-mbatiani.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "CCM Yaivunja Ngome ya James Mbatia.....Ni Baada ya Kuvuna Wanachama Wapya 170"

Post a Comment

Loading...