Loading...
title : DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI
link : DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI
DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Watendaji wengine wa Serikali
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kushoto) katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kulia) pamoja na Watendaji wengine wa Serikali,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kulia) katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Watendaji wengine wa Serikali.
Picha na Ikulu.
Hivyo makala DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dkshein-aondoka-nchini-leo-kuelekea.html
0 Response to "DK.SHEIN AONDOKA NCHINI LEO KUELEKEA INDONESIA KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment