Loading...
title : DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR
link : DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR
DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR
Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akizungumza katika hafla ya jioni aliyowaandaliwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi Viva Premier, jijini Dar es salaam.

Meneja wa Benki ya CRDB tawi la Viva Premier, Naomy Mwamfupe akizungumza jambo wakati akitoa taarifa ya Tawi hilo kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, katika hafla ya jioni iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.

Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Dkt. Charles Kimei akifyrahi jambo na Mzee Daniel Ole Njolaay (kulia) pamoja na Mzee Christopher Mwita Gachuma katika hafla iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.

Manaibu Wakurugenzi Watendaji wa Benki ya CRDB, Esther Kitoka (kulia) na Dorah Ngaliga wakifurahi jambo katika hafla ya jioni iliyoandaliwa maalum kwa wateja mashuhuri wa Benki ya CRDB wa klabu ya Viva, iliyofanyika mwishoni mwa wiki kwenye tawi hilo, jijini Dar es salaam.
Sehemu ya Wateja wa Benki ya CRDB tawi la Viva wakiwa kwenye hafla hiyo.
Hivyo makala DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR
yaani makala yote DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dkt-kimei-ateta-na-wateja-wa-benki-ya.html
0 Response to "DKT KIMEI ATETA NA WATEJA WA BENKI YA CRDB TAWI LA VIVA PREMIER JIJINI DAR"
Post a Comment