Loading...

DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI

Loading...
DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI
link : DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI

soma pia


DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI

Kiungo Mshambuliaji wa klabu ya Juventus, Paulo Dybala, amempiga dongo moja la hatari Muargentina mwenzake, Lionel Messi juu ya ujio wa Cristiano Ronaldo ndani ya klabu hiyo.

Dybala ambaye imekuwa ikielezwa hana ukaribu na Messi amesema ujio wa Ronaldo ndani ya Juventus utamfanya acheze kwa maelewano mazuri zaidi akiwa sambamba naye.

Kiungo huyo ameeleza kuwa ni wakati mwafaka sasa wa kumuonesha Messi pamoja na Gonzalo Higuain namna gani ya kucheza na Ronaldo baada ya kukosa nafasi kwenye michuano ya Kombe la Dunia Urusi.

Dybala amefikia maamuzi ya kusema hayo baada ya kushindwa kupata nafasi wakati akiwa Urusi na kikosi cha timu ya taifa ya Argentina ambapo Messi na Higuain walipata nafasi ya kuanza huku yeye akikaa benchi.

Katika michuano hiyo iliyomalizika siku kadhaa zilizopita, Argentina iliishia hatua ya makundi kwa kichapo cha mabao 4-3 dhidi ya Ufaransa na kuondolewa rasmi kuendelea na michuano.


Hivyo makala DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI

yaani makala yote DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/dyabala-ampiga-dongo-la-hatari-messi.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "DYABALA AMPIGA DONGO LA HATARI MESSI"

Post a Comment

Loading...