Loading...

JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA

Loading...
JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA
link : JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA

soma pia


JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA

Na Lucas Mboje, Jeshi la Magereza

KAMISHNA Jenerali mpya wa Jeshi la Magereza nchini, Phaustine Kasike amesema kuwa Uongozi wake utaandaa mpango mkakati wa kuhakikisha kuwa wafungwa wanazalisha chakula cha kutosha ili wafungwa waweze kujilisha magerezani. 

Jenerali Kasike ametoa kauli hiyo mara baada ya kupokelewa rasmi Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, jijini Dar es Salaam.

Amesema kuwa tayari mtangulizi wake alishaanza kuufanyia kazi mpango huo na amebainisha kuwa alipoishia mtangulizi wake ataanzia hapo ili mchakato huo ukamilike  kwa ufanisi na hivyo kutekeleza agizo la Rais John Pombe Magufuli kuhusu wafungwa kuzalisha chakula chao wenyewe na hatimaye kujilisha.

Aidha, amewataka maofisa na askari wote wa Jeshi hilo nchini kuhakikisha kuwa wanabadilika kimtizamo na kuacha tabia ya kufanya kazi kwa mazoea ili kuweza kutimiza matarajio na maelekezo mbalimbali ya Mhe. Rais John Pombe Magufuli.

Pia, Kamishna Jenerali Kasike amesema  watafanyia maboresho katika utaratibu wa kuwawezesha kiasi fulani cha fedha(Incentive scheme) wafungwa ambao wanaoshiriki moja kwa moja kwenye miradi ya uzalishaji mali ya Jeshi hilo ili kiasi hicho kiwawezeshe kuanzisha shughuli za kijasiriamali mara baada ya vifungo vyao huko uraiani.

Kwa upande wake Kamishna Jenerali mstaafu wa Magereza, Dkt. Juma Malewa  amempongeza Kamishna Jenerali mpya wa Magereza Phaustine Kasike kwa uteuzi huo na amemtakia kila la heri kwenye utekelezaji wa majukumu yake.


Hivyo makala JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA

yaani makala yote JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/jeshi-la-magereza-kuja-na-mpango.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "JESHI LA MAGEREZA KUJA NA MPANGO MKAKATI WA KUJITOSHELEZA CHAKULA CHA WAFUNGWA"

Post a Comment

Loading...