Loading...
title : Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu
link : Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu
Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu
WAFANYAKAZI wa Jumuiya ya Istikama Zanzibar wakiwa kwenye Boti wakielekea katika Kijiji cha Tumbatu kwaajili ya kukabidhi Msaada wa fedha kwa Wananchi waliopatwa na Maafa ya Upepo hivi karibuni.
MWENYEKITI wa kitengo cha Maafa Jumuiya ya Istikama Zanzibar Said Hemed Alshaybar akimkabidhi Msaada wa Fedha Bi. Dawa Jabiri Haji mkaazi wa Tumbatu Uvivini.
MKURUGENZI Mtendaji Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Makame Khatibu Makame akimkabidhi Msaada wa fedha Makame Mdungi Makame mkaazi wa Shehiya ya Bomani Tumbatu.
MWENYEKITI wa kitengo cha Maafa Jumuiya ya Istikama Zanzibar Said Hemed Alshaybar akizungumza na Wananchi wa Tumbatu baada ya kukabidhi Msaada wa fedha kwa waliopatwa na Maafa.
SHEHA wa Shehiya ya Uvivini Hassan Muhidini akitoa shukurani kwa niaba ya Masheha wa Shehiya tatu za Tumbatu kwa Jumuiya ya Istikama baada ya kuwapatia Msaada kwa Wananchi waliopatwa na Maafa hivi karibuni.
Picha na Abdalla Omar Maelezo - Zanzibar.
Hivyo makala Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu
yaani makala yote Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/jumuiya-ya-istiqaamah-zanzibar.html
0 Response to "Jumuiya ya Istiqaamah Zanzibar wakabidhi msaada wa fedha kwa wananchi walioathirika na upepo Tumbatu"
Post a Comment