Loading...

KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Loading...
KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM
link : KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM

soma pia


KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM

Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano, Mhandisi Atashasta Nditiye, akitoa ufafanuzi kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu kuhusu namna Kituo cha Mafuta (KOJ) kinavyofanya kazi, wakati kamati hiyo ilipotembelea bandari ya Dar es Salaam.
Kaimu Meneja wa Kituo cha Mafuta (KOJ), Sixtus Karia akifafanua jambo kwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu namna meli zinavyopakua mafuta katika kituo cha hicho katika bandari ya Dar es Salaam, wakati kamati hiyo ilipotembelea mradi wa upanuzi wa bandari hiyo.
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu, Mhe. Moshi Kakoso, akitoa maelekezo kwa uongozi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA), wakati kamati hiyo ilipofanya ziara bandari ya Dar es Salaam.
Muonekano wa kazi zikiendelea kwenye mradi wa upanuzi wa gati namba 1 mpaka 7 katika bandari ya Dar es Salaam. Mradi huo unahusisha gati mpya ya kuhudumia meli za magari.


Hivyo makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM

yaani makala yote KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-bunge-ya-miundombinu-yakagua.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KAMATI YA BUNGE YA MIUNDOMBINU YAKAGUA MRADI WA UBORESHAJI BANDARI YA DAR ES SALAAM"

Post a Comment

Loading...