Loading...
title : KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI.
link : KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI.
KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI.
Mwamkba wa habari
Kamati ya fedha ya baraza la Madiwani Manispaa ya Ilala mewataka wakandarasi walichukua kandarasi ya ujenzi wa madarasa na ofisi za serikali za mitaa na ofisi za watendaji kuhakikisha wanajenga kwa viwango na ubora.
Hayo yamesemwa na naibu Meya wa Manispaa ya Ilala Omary Kumbilamoto wakati wa ziara ya kamati ya fedha kukagua maendeleo ya ujenzi wa Madarasa miradi ya ujenzi wa ofisi za Serikali za mitaa katika maeneo ya Chanika ,Buyuni,Bonyokwa ,Kivule na Kimanga na kuwaka waliojenga chini ya kiwango kurudia ujenzi.
”Halmashauri iliidhinisha jumla ya shilingi Milion 300.7 kwaajili ya ujenzi huu na sas tumegundua kuwa fedha hizi kwa asiima 99 zimetumika vizuri na tumesisitiza wakandarasi kumalizia pale ambapo tume waambia warudie na pale ambapo hawaja kamilisha wakamilishe nafedha zao zipo tayari” alisema
Aidha akizungumzia upungufu wa madarasa amesema Manispaa itaendelea kujenga vyumba vya Madarasa ilikukabiliana na msongamano wa wanafunzi katika shule ambazo bado zinaupungufu wa vyumba vya Madarasa.
‘’Kamati imeona kuna idadikubwa kwa baadhi ya madara tumejipanga kukabili tatizo hili na sasa plan yetu nikujenga madarasa ya ghorofa katika shule zetu tatizo litakwisha muda simrefu”alisema
Hata hivyo amewataka walimu kufanya kazi kwa bidi na kusema kuwa manispaa itaendelea kufanyia kazi changamoto zao , na kuwataka kueleza matatizo yao kwa ofisi ya mkurugenzi na Meya ilikuweza kufaniwa kazi na kuendelea na kazi ya kufundisha kwa ari.
Naye mkuu wa shule ya sekondari Nguvu mpya liyoko Chanika , Mwalimu Hamis Ernest Masatu amesema kujengwa kwa vyumba vitatu vya madarasa katika shule hapo kumepunguza kwa kiasi usumbufu kwa wanafuzi ingawa bado kunaidadi kubwa ya wanafuzi kwa kila darasa ukilinganisha na utaratibu wa kawadi wa ambapo kwa mujibu wa mwongozo wa Wizara ni wanafunzi 45 kwa kila darasa lakini kwa baadh ya madarasa wanakaa hadi wanafunzi 100.
“Namuomba Mkurugezi azipe kipaumbele shule zenye wanafunzi wengi kujengewa madarasa “ alisema
Hivyo makala KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI.
yaani makala yote KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-fedha-baraza-la-madiwani.html
0 Response to "KAMATI YA FEDHA BARAZA LA MADIWANI ILALA YATEMBELEA MIRADI ,YAAGIZA WAKANDARASI WALIOJENGA CHINI YA KIWANGO KURUDIA KAZI."
Post a Comment