Loading...

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake

Loading...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake
link : Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake

soma pia


Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake

 Kaimu Mkurugenzi  mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania, Richard Mayongela akimpokea mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Suleimani Kakoso ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Mpanda Vijijini.
 Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu Suleimani Kakoso akisalimiana na watendaji waandamizi wa Mamlaka wa Viwanja vya ndege Tanzania mara baada ya kuwasili katika ukumbi wa Watu Mashuhuri.
 Kaimu Mkurugenzi  mkuu wa Mamlaka ya Viwanja vya ndege Tanzania, Richard Mayongela  akiwasilisha taarifa ya Utendaji ya Mamlaka mara baada ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu uuwasili.
 Wabunge wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu wakifuatilia taarifa ya utendaji ya Mamlaka ya Viwanja yya Ndege iliyokuwa ikiwasilishwa na Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TAA, Richard Mayongela.
 Kaimu Mkurugenzi wa Kiwanja cha JNIA, Paul Rwegasha akitoa historia ya Jengo la kwanza la abiria wakati wa ziara ya Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu.
Moja ya gari jipya lililowasili kati ya sita ambayo Mamlaka ya Viwanja vya Ndege Tanzania imeyanunua na kuyakabidhi kwa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji ili kuweza kusaidia katika dharura za moto zinazoweza kutokea Kiwanjani.


Hivyo makala Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake

yaani makala yote Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kamati-ya-kudumu-ya-bunge-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Miundombinu yatembelea TAA kuona utendaji wake"

Post a Comment

Loading...