Loading...

KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018

Loading...
KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018 - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018
link : KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018

soma pia


KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018

Ufaransa wanamsubiri aidha Uingereza ama Croatia baada ya goli la kichwa la kipindi cha pili la Samuel Umtiti kutosha kuwapeleka Wafaransa hao kwenye fainali ya Kombe la Dunia la Soka mwaka huu. 
Kipindi cha kwanza kiliisha butu ingawa makipa Thibaut Coutous wa Ubelgiji na Hugo Llorisa walipofanya maajabu ya kuokoa na kufanya mchezo ulale 0-0 hadi mapumziko. 
Pigo la kichwa la Umtiti kutoka majalo ya mpira wa kona lilitosha kuwatia wehu mashabiki wa Ufaransa. Ubelgiji walijaribu, bila mafanikio, kutunza rekodi yao ya kutofungwa, lakini Ufaransa walisimama kidete na kuhakikisha wanatinga fainali kuwasubiri aidha Uingereza ama Croatia wanaocheza kwenye nusu fainali ingine kesho. 


Hivyo makala KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018

yaani makala yote KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kichwa-cha-umtiti-chaipeleka-ufaransa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "KICHWA CHA UMTITI CHAIPELEKA UFARANSA KUINGOJA UINGEREZA AMA CROATIA KWENYE FAINALI YA KOMBE LA DUNIA LA SOKA 2018"

Post a Comment

Loading...