Loading...
title : Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza
link : Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza
Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akimkabidhi tuzo ya kushika nafasi ya kwanza katika utendaji kazi bora wa kutoa huduma kwa wagonjwa kwa Kurugenzi ya Tiba Shirikishi Kaimu Mkurugenzi wa Idara hiyo ambaye pia ni Daktari Bingwa wa Magonjwa ya Moyo Delila Kimambo wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza washindi iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi.
Mkurugenzi wa Tiba kutoka Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Doroth Gwajima akimkabidhi tuzo ya kushika nafasi ya kwanza katika kuwezesha utendaji kazi bora wa kutoa huduma kwa wagonjwa kwa Kurugenzi ya Uuguzi Kaimu Mkurugenzi wa Idara hiyo Robert Mallya wakati wa hafla fupi ya kuwapongeza washindi iliyofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji Prof. Mohamed Janabi.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wakimsikiliza Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi hiyo Prof. Mohamed Janabi (hayupo pichani) akielezea kuhusu kazi zilizofanywa na Taasisi hiyo kwa mwaka 2018 katika kikao cha wafanyakazi na viongozi wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto kilichofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa mikutano wa Taasisi hiyo uliopo Jijini Dar es Salaam. Picha na Brighton James -JKCI
Hivyo makala Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza
yaani makala yote Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/kurugenzi-ya-tiba-shirikishi-ya-taasisi.html
0 Response to "Kurugenzi ya Tiba Shirikishi ya Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) yashika nafasi ya kwanza"
Post a Comment