Loading...

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA

Loading...
MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA
link : MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA

soma pia


MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA

 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Paulo Sango alipolitembelea banda la Wizara ya Ujenzi, uchukuzi na Mawasiliano kwenye kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe mkoani Mbeya leo tarehe 26, Julai 2018.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akipata maelezo ya Huduma za TTCL kutoka kwa Afisa Huduma kwa Wateja Bi. Niva Frankie Mkwe kabla ya ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe mkoani Mbeya leo tarehe 26, Julai 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)  
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe mkoani Mbeya leo tarehe 26, Julai 2018. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)  
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Amos Makala akihutubia wakati wa kuwakaribisha wageni kwenye ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe mkoani Mbeya leo tarehe 26, Julai 2018.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan (katikati),Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Ndugu Amos Makala (kushoto) pamoja na Waziri wa Viwanda Biashara na Utalii wa Malawi Mhe. Hon Henry Mussa (MB) wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Biashara na Uwekezaji kati ya Tanzania na Malawi kwenye ukumbi wa Royal Tughimbe mkoani Mbeya leo tarehe 26, Julai 2018. (Picha na Ofisi ya  Makamu wa Rais)


Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA

yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-afungua-kongamano-la.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MAKAMU WA RAIS AFUNGUA KONGAMANO LA SIKU LA BIASHARA NA UWEKEZAJI KATI YA TANZANIA NA MALAWI MKOANI MBEYA"

Post a Comment

Loading...