Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA
link : MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA
MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Viongozi wa mkoa wa Mbeya pamoja na Wafanyakazi na Wataalam kutoka kampuni ya Songoro Marine wanaoshiriki katika kuunda meli ya MV. Mbeya II itakayobeba abiria 200 pamoja na tani 200 za mizigo katika bandari ya Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua maendeleo ya ujenzi wa meli ya MV. Mbeya II itakayobeba abiria 200 pamoja na tani 200 za mizigo katika bandari ya Itungi wilayani Kyela mkoani Mbeya.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akikagua meli mbili mpya za mizigo zenye uwezo wa kubeba tani 1000 kila moja ambazo ni Mv. Njombe na Mv. Ruvuma katika bandari ya Kiwira wilayani Kyela mkoani Mbeya. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-akagua-meli-katika.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AKAGUA MELI KATIKA BANDARI YA KIWIRA NA ITUNGI KYELA MBEYA"
Post a Comment