Loading...
title : MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI
link : MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI
MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amewasili mkoani Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makala na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia baadhi ya viongozi wa Chama cha CCM,mara baada ya kuwasili mkoani Songwe na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa Songwe Mhe. Lt. Mstaafu Chiku Galawa pamoja na Mkuu wa Mkoa wa Mbeya Mhe. Amos Makala na Viongozi wengine wa Chama na Serikali katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Songwe. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Hivyo makala MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI
yaani makala yote MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/makamu-wa-rais-awasili-mkoani-songwe.html
0 Response to "MAKAMU WA RAIS AWASILI MKOANI SONGWE KWA ZIARA YA KIKAZI"
Post a Comment