Loading...
title : MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
link : MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
Mtumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali, Bw. Kagera Ng’weshemi (kushoto) akimueleza mwananchi kuhusiana na uchunguzi wa kimaabara wa dawa za kulevya na sumu unavyofanyika kwa hatua mbalimbali ndani ya maabara za Mamlaka.
Mmoja ya wananchi akimsikiliza mtumishi wa Mamlaka, Bi. Petronila Foy (kulia) akimuelezea kuhusiana na utaratibu wa kufuata unapohitaji kusajili kemikali kwa ajili ya kutumia, kuuza, kusafirisha au kuingiza nchini.
Mtumishi wa Mamlaka, Bw. Alois Ngonyani (kushoto) akitoa elimu kuhusu aina za dawa za kulevya na madhara yake kwa wadau waliotembelea banda la Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali kwenye Maonesho ya Saba Saba yanayoendelea kwenye viwanja vya Saba Saba, Barabara ya Kilwa, Dar es Salaam.
Bi. Leticia Waitara (kushoto) akitoa elimu kwa wadau kuhusiana na taratibu za uchunguzi wa Vinasaba vya Binadumu (DNA) na mpaka hatua ya mwisho ya uchunguzi unavyofanyika kwenye Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali.
Hivyo makala MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mamlaka-ya-maabara-ya-mkemia-mkuu-wa.html
0 Response to "MAMLAKA YA MAABARA YA MKEMIA MKUU WA SERIKALI WATOA ELIMU KWA WANANCHI WANAOTEMBELEA MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment