Loading...
title : MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR
link : MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR
MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
WAZIRI wa Maji na Umwagiliaji Prof Makame Mbarawa amewaagiza Shirika la Maji safi na Maji taka (DAWASCO) kubadilisha mita zote za maji kwa viwanda vyote vya Dar es Salaam na wale wateja wakubwa.
Hayo ameyasema leo alipotembelea viwanda vya Azam Bakheresa, Pepsi na Coca Cola ili kuweza kuona kila mteja anapata maji kwa maslahi anayoyahitaji.
Prof Mbarawa amesema kuwa amewaagiza DAWASCO kufunga mita za malipo ya kabla (Pre Paid) zitazomuwezesha mteja kununua maji kulingana na matumizi yake ambapo atahitaji kulipia kwanza kabla ya kupatiwa maji na hela itakapomalizika maji hayatatoka.
"Mfumo huu wa mita za malipo ya kabla (Pre Paid) utamfanya mteja atumie maji kulingana na mahitaji yake na atalipia maji kabla na hela yake itakapoisha maji hayatatoka na hilo litasaidia kwa kila kufahamu matumizi yake sahihi ya maji,"amesema Prof Mbarawa.
Ameeleza kuwa, viwanda vyote na wateja wakubwa watafungiwa mita hizo ambazo zitakuwa zinaendeshwa kwa mfumo wa kidigitali na utasaidia kusimamia maji yanayostahili kutumika pia fedha wanazostahili kuzipata kutoka katika maji hayo.

Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof Makame Mbarawa akizungumza na wananchi wa eneo la Mwenge akiwaelezea mfumo mpya wa mita za malipo ya kabla (Pre Paid) utakaoanza kutumika hivi karibuni. Hayo aliyasema katika ziara yake katika Viwanda mbalimbami leo Jijini Dar es Salaam.
Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maji safi na Maji taka (DAWASCO) Mhandisi Cyprian Luhemeja akizungumza na waandishi wa habari kuhusu mfumo mpya wa mita za malipo ya kabla (Pre Paid) baada ya kumaliza ziara ya kutembelea viwanda mbalimbali Jijini Dar es Salaam
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof Makame Mbarawa akizungumza na baadhi ya viongozi wa Kiwanda cha Soda Pepsi alipotembelea kiwanda hicho kwa ajili ya kukagua mita za maji iliyofanyika leo Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Maji na Umwagiliaji Prof Makame Mbarawa akikagua mita ya maji katika Kiwanda cha Pepsi leo Jijini Dar es Salaam.
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA
Hivyo makala MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR
yaani makala yote MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mbarawa-aagia-dawasco-kuweka-mita-za.html
0 Response to "MBARAWA AAGIA DAWASCO KUWEKA MITA ZA PRE PAID KATIKA VIWANDA VYOTE JIJINI DAR"
Post a Comment