Loading...
title : MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO
link : MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO
MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO
WAKATI baadhi ya watu wengi walio na ulemavu kuona hawawezi kufanya chochote hali imekua tofauti kwa mtoto Jonathan Bryan aishiye Wiltshire huk Uingereza.
Jonathan alizaliwa miaka 12 iliyopita akiwa na matatizo mbalimbali katika mfumo mzima wa mjongeo wa mwili na amekuwa akisaidiwa na kiti walemavu (wheel chair)
Muda wote wa maisha yake wazazi wake wamekuwa wakitumia ishara za mwili kama kutabasamu katika kuwasiliana naye, walimu waligundua matatizo yake katika kujifunza hivyo hawakumfundisha kusoma wala kuandika.
Mama wa mtoto huyo Chantal Bryan alianza kubadili maisha ya mtoto huyo baada ya kutenga masaa kadhaa ya kumfundisha kusoma na kuandika na hadi kufikia miaka 9 Jonathan aliweza kutamka chochote alichohitaji.
Kwa msaada wa E-Tran frame mfumo ambao huusisha vifaa vyenye rangi na herufi na mtu anayewasiliana kwa kubeba mbele yao na kufuata kile ambacho anataka kukitaja umemsaidia Jonathan katika kuwasiliana na hata kuandika kitabu kinachohusu maisha yake cha "Iam Voice of Voiceless" kwa kutumia macho yake.
Katika kitabu hicho Jonathan ameandika kuhusu watoto kupewa nafasi ya kujifunza, kusoma na kuandika na hata kama mwili wake upo sawa ila akili yake inaweza kuwa makini.
Hivyo makala MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO
yaani makala yote MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mfahamu-jonathan-mtoto-wa-miaka-12.html
0 Response to "MFAHAMU JONATHAN, MTOTO WA MIAKA 12 ALIYEANDIKA KITABU KWA KUTUMIA MACHO"
Post a Comment