Loading...

Miss Ilala wampongeza DC Ilala

Loading...
Miss Ilala wampongeza DC Ilala - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Miss Ilala wampongeza DC Ilala, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Miss Ilala wampongeza DC Ilala
link : Miss Ilala wampongeza DC Ilala

soma pia


Miss Ilala wampongeza DC Ilala



Na Heri Shaban
Mwambawahabari
WAREMBO wa Miss Ilala wamefanya ziara ofisi ya mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema kwa ajili ya kumpongeza na kumshukuru  kama mlezi wa wilaya ya Ilala na kuomba baraka kwa ajili ya mashindano ya miss Dar es Salam.


Warembo hao walioingia tano bora ambao wamepata tiketi ya kushiriki mashindano ya ngazi ya mkoa waliongozana na Kamati ya Miss Ilala ambao ndio waliandaa mashindano hayo mwaka huu.


Akizungumza Dar es salaam Miss Ilala 2018  Linda Samson, amempongeza Mkuu wa wilaya  kwa kuwasimamia washindi wote kupata zawadi.


"Tunashukuru mashindano yetu ngazi ya wilaya yamemalizika kwa sasa wanakwenda kupeperusha Bendera ngazi ya mkoa, " alisema Linda .

 Linda alisema  wanakwenda kupeperusha Bendera ya Ilala ngazi, ya mkoa baadae miss Tanzania hivyo kama warembo wa Ilala wameaidi watafanya vizuri Wilaya ya Ilala hadi miss Tanzania mwaka huu .


Kwa upande wake mkuu wa wilaya ya Ilala Sophia Mjema, amewapongeza warembo hao watano  ambao wamefanikiwa  kushiriki miss Dar es salaam, ambapo aliwapa baraka  zake na kuwapa moyo  huko wanapokwenda wakafanye vizuri zaidi.


"Warembo wa wilaya ya yangu msiwe  na hofu naomba mjiamini mashindano ambayo mnakwenda kushiriki naamini mtafanya vizuri kwa wilaya yangu " alisema Mjema.

kwa Upande  wake Mratibu wa Miss Ilala, Lucas Lutainrwa amesema mashindano ya Miss Ilala mwaka huu 20018 yameshirikisha warembo 19 Kati ya warembo watano wamefanikiwa kusonga mbele miss Dar es salaam .

Wakati huohuo Lucas alitumia nafasi hiyo kumpongeza Rais kwa utendaji wa kazi na utekelezaji wa Ilani vizuri katika Serikali ya awamu ya tano changamoto mbalimbali zimekwisha katika wilaya Ilala sehemu ya mafanikio ya kujivunia wananchi wanapata huduma zote za kijamii .

Lucas alitaja warembo wake 19 mwaka 2018 walishiriki Miss Ilala mrembo Linda Samson alifanikiwa kutwaa taji la Ilala mwaka huu, nafasi ya pili Sheila Rajabu,nafasi ya Tatu Husna Jamal  nafasi ya nne Magreth Geddy nafasi ya tano Jessa Sophia.




Hivyo makala Miss Ilala wampongeza DC Ilala

yaani makala yote Miss Ilala wampongeza DC Ilala Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Miss Ilala wampongeza DC Ilala mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/miss-ilala-wampongeza-dc-ilala.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Miss Ilala wampongeza DC Ilala"

Post a Comment

Loading...