Loading...

MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Loading...
MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE
link : MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

soma pia


MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

Na John Mapepele,Dodoma

WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina ameamuru kuundwa Kitengo kipya cha Usimamizi na Udhibiti wa Rasilimali za Mifugo katika Idara ya Uzalishaji na Masoko cha wizara hiyo ili kutoa ulinzi wa kutosha wa mifugo na mazao yake baada ya kubainika kuwepo mianya mikubwa ya utoroshaji rasilimali hizo nje ya nchi na uingizaji holela wa mazao hayo nchini.

Pia ameagiza kuandaliwa mkakati wa kudhibiti mianya ya upotevu wa mapato yatokanayo na sekta ya mifugo baada ya kubainika kuwepo kwa mianya mingi na mbinu haramu zinazotumiwa kukwepa kulipa mapato ya Serikali hatua inayosababisha sekta ya mifugo kutoa mchango mdogo katika Pato la Taifa.

Sambamba na hilo pia Waziri Mpina ameagiza kupitiwa upya kwa mfumo wa uagizaji, ununuzi na usambazaji wa dawa za mifugo ambapo wafugaji wengi wamelalamikia mfumo wa sasa hasa katika upatikanaji wa dawa, bei kubwa, kuuziwa dawa zilizokwisha muda wa matumizi na dawa nyingi kutokuwa na viwango vya ubora unaotakiwa.

Akizungumza jijini Dodoma jana wakati wa tathmini ya operesheni ‘Nzagamba’, iliyodumu kwa muda wa miezi mitatu katika mikoa yote ya Tanzania Bara, Waziri Mpina alisema makusanyo ya maduhuli kutokana na operesheni hiyo jumla ya Tsh bilioni 7.1 zilikusanywa kutokana na tozo, kodi na faini mbalimbali ambapo kumepelekea makusanyo ya maduhuli ya wizara kwa mwaka wa fedha 2017/18 kufikia sh bilioni 19.5 ikilinganishwa na Tsh bilioni 12 zilizokusanywa katika mwaka wa fedha 2016/17.

Waziri Mpina alisisitiza kuwa awali Serikali ilikuwa inakusanya mapato yatokanayo na sekta ya mifugo yaliyokuwa kati ya Bilioni 10 hadi 12 kwa mwaka licha ya idadi kubwa ya mifugo iliyoko nchini hatua ambayo iliisukuma wizara hiyo kufanya operesheni ‘Nzagamba’ ili kubaini mianya ya upotevu wa mapato yatokanayo na sekta hiyo.
Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Mpina akitoa maelekezo ya serikali katika kikao hicho kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo Abdallah Ulega 
Waziri wa Wizara ya Mifugo na Uvuvi Mhe Luhaga Mpina akiwa na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji Mh Mahamoud Mgimwa na wajumbe wa kamati hiyo akisikiliza mawasilisho ya Taarifa za Operesheni Nzagamba kutoka kwa wawasilishaji leo 
 WAZIRI wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina akiwa kwenye picha ya pamoja na kikosi kazi alichokiunda cha Operesheni Nzagamba 2018 na viongozi wakuu wa wizara na mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya Kilimo,Mifugo na Maji Mh Mahmoud Mgimwa .




Hivyo makala MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE

yaani makala yote MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mpina-aamuru-kuundwa-kwa-idara-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "MPINA AAMURU KUUNDWA KWA IDARA YA ULINZI WA MIFUGO NA MAZAO YAKE"

Post a Comment

Loading...