MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKElink :
MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE
MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE
Mkurugenzi wa Masoko, Utafiti na Huduma kwa Wateja wa Benki ya CRDB, Tully Esther Mwambapa akimkabidhi mfano wa tiketi ya mechi za Kombe la Dunia, Mshindi wa 11 wa droo ya Shinda na TemboCardVisa, David Hughes ambaye atasafiki kuelekea nchini Urusi kushuhudia moja ya mechi za robo fainali ya Mashindano ya Kombe la Dunia 2018. makabidhiano hayo yamefanyika leo makao makuu ya Benki ya CRDB, jijini Dar es salaam.
Mshindi wa 11 wa droo ya Shinda na TemboCardVisa, David Hughes akizungumza jambo wakati akiishukuru Benki ya CRDB kwa kuendesha droo hiyo iliyompatia ushindi wa kwenda kushuhudia moja ya mechi za Kombe la Dunia nchini Urusi.
Hivyo makala MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE
yaani makala yote MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mshindi-wa-11-wa-droo-ya-shinda-na.html
Related Posts :
WAZIRI KALEMANI AKUTANA NA BALOZI WA MAREKANI, INDIA NCHINILeo tarehe 20 Novemba, 2017, Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani amekutana na Balozi wa Marekani Nchini, Dkt. Inmi Patterson na Balozi w… Read More...
MOI YAOKOA BILIONI 5 KWA KUPUNGUZA RUFAA ZA NJE YA NCHI.Patrick Mvungi- MOI
Taasisi ya Tiba ya Mifupa na Upasuaji wa Ubongo, Mgongo na Mishipa ya Fahamu (MOI) imeokoa zaidi ya shilingi Bilioni 5 … Read More...
UKATILI DHIDI YA WANAWAKE TATIZO KUBWA HAPA NCHINI - DKT. NDUGULILE
Naibu Waziri wa Afya, Maendelego ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto Mhe. Faustine Ndugulile akitoa hotuba ya ufunguzi wakati wa Mkutano Mkuu … Read More...
Rais Magufuli hajatengua utengua uteuzi wa Dkt. Laurian Ndumbaro
… Read More...
Waziri Kairuki, Benki ya Dunia Wajadili Rasilimali MadiniNa Rhoda James, DSM
Waziri wa Madini Angellah Kairuki mwishoni mwa wiki alikutana na Ujumbe wa Benki ya Dunia jijini Dar es Salaam kwa leng… Read More...
0 Response to "MSHINDI WA 11 WA DROO YA SHINDA NA TEMBOCARDVISA AKABIDHIWA TIKETI YAKE"
Post a Comment