Loading...

Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke.

Loading...
Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke.
link : Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke.

soma pia


Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke.

 Katibu Tawala wilaya ya Temeke Ndugu Hashimu Komba (kwa niaba ya MKuu wa Wilaya),akimkabidhi Kombe la Tatu Mzuka kwa kijana mkazi wa Mbagala,Abeid Amir aliyejinyakulia kitita cha shilingi Milioni 300,alipokwenda kutambulishwa kwa Mkuu wa Wilaya ya Temeke.Katika mazungumzo yake na Uongozi wa Wilaya mshindi huyo ameahidi kuchangia kiasi cha shilingi milioni mbili kwa ajili ya kusaidia ujenzi wa kituo cha Polisi kinachojengwa Mbagala.
 Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 Abeid Amir akipokelewa kwa shangwe,nderemo na vifijo  mara baada ya kuwasili nyumbani kwao Mbagala-Kilungule,ambapo pia alipokelewa vyema na viongozi wa serikali ya Mtaa kwa heshima kubwa.
  Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 Abeid Amir akipokelewa kwa shangwe na Diwani wa Kata ya Kilungule Said Fella na akiwa sambamba na Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa wa Kata ya Zomboko Ndugu Hemed Said Njiwa,mara alipowasili nyumbani kwao Mbagala-Kilungule
Diwani wa Kata ya Kilungule Said Fella akizungumza machache mbele ya wageni waalikwa mbalimbali waliofika kumpokea mshindi huyo wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018.


Hivyo makala Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke.

yaani makala yote Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mshindi-wa-milioni-300-za-supa-mzuka.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mshindi wa Milioni 300 za Supa Mzuka Cup 2018 kuchachangia milioni mbili ujenzi wa kituo cha Polisi Mbagala,Temeke."

Post a Comment

Loading...