Loading...

Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico

Loading...
Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico
link : Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico

soma pia


Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico


Image result for PICHA ZA MWAKYEMBE
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt Harison Mwakyembe anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika Uzinduzi wa Bendi ya Boggos Musica El Classico utakaofanyika Julai 28 mwaka huu katika Ukumbi wa Escape one jijini Dar es Salaam.
Hayo yamesemwa leo jijini humo na Katibu wa Chama cha Muziki wa Dansi Tanzania (Chamudata), Hassan Msumari wakati akizungumza na wanahabari kuhusiana na uzinduzi wa bendi hiyo.
Amesema Chamudata ilifanya juhudi za dhati ambapo awali ilikuwa Waziri Mkuu awe mgeni rasmi lakini kutingwa na majukumu wakaona bora wamualike waziri  husika huku akibainisha wamewapa mwaliko wakuu wote wa wilaya na mameya wa manispaa zote.
“ Mwanzoni tulitaka Waziri Mkuu ashuhudie uzinduzi huu lakini imeshindaka sababu amebanwa na majukumu hivyo tukaona bora tumualike Waziri Mwakyembe tuna imani mambo yataenda vizuri,” amesema.
Ameabinisha kuwa Menejimenti nzima ya Windhoek imeafanya jambo jema kwa kumthamini Nyoshi El Sadat huku akisisitiza kuwa bendi hiyo itadumu kutokana na kusheheni wanamuziki vijana wenye vipaji.
Amefafanua kuwa Chamudata itaendelea kushirikiana bega kwa bega na wanamuziki wa nchini na kutoka Demokrasia ya Kongo.
Kwa upande wake Kiongozi wa bendi hiyo, Nyoshi El Sadat amesema amekaa mwaka mmoja akijipanga na kuandaa vipaja wenye vipaji na kuwaomba wapenzi wa muziki kujitokeza kwa wingi kushuhudia burudani.
Amesema siku hiyo watawaonyesha staili yao mpya ya nalimsha dude na kuimba nyimbo 11 ikiwemo ya Mama wa kambo.
Nyoshi amesema uzinduzi utatanguliwa na burudani ya wasanii kutoka Windhoek na kwamba saa mbili usiku atapanda jukwaani.
Naye Meneja Rasilimali watu wa Mabibo Beer, Wines and Spirits Limited, Simon Salatiel amesema wamejipanga kuhakikisha uzinduzi unakwenda vizuri na kwamba kampuni hiyo haibagui inashirikiana na wasanii na wanamuziki.


Mratibu wa uzinduzi huo kutoka Kampuni ya Prime Time Promotion, Khamis Dakota amesema viingilio vya kawaida ni Sh 10,000, VIP sh 25,000 na Meza ya watu 10 italipiwa Sh 250,000.


Hivyo makala Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico

yaani makala yote Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mwakyembe-mgeni-rasmi-uzinduzi-bendi-ya.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Mwakyembe mgeni rasmi Uzinduzi Bendi ya Boggos Musica El Classico"

Post a Comment

Loading...