Loading...

Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni

Loading...
Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni
link : Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni

soma pia


Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni

Mwamba wa habari

Jeshi la Polisi limefanikiwa kumkamata mwalimu wa shule ya sekondari Loliondo, Erick Kalaliche mkoani Lindi ambaye anatuhumiwa kwa kosa la kumbaka mwanafunzi wake wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Loliondo kabla ya mwalimu huyo kuhamishwa.

Hayo yamebainishwa jana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Arusha, Ramadhani Ng'anzi  baada ya Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, William Ole Nasha kutoa agizo la kutafutwa na kukamatwa kwa mwalimu huyo ambaye ametenda kosa la jinai na kuhamia katika shule nyingine.

"Agizo la Naibu Waziri wa Elimu tumelipokea na kama inavyofahamika kuwa kumpa ujauzito mwanafunzi ni kosa la jinai na jarada limeshafunguliwa la kupeleleza tukio hilo kwasababu baada ya kuwasiliana na Mkurugenzi wake yule
mwalimu alipewa uhamisho tangu mwaka 2017 lakini tumewasiliana na wenzetu katika kituo chake kipya kule Lindi na wametuambia kwamba wamefanikiwa kumkamata mtuhumiwa huyo leo hivyo tunafanya mpango wa kurudishwa huku kwenye kesi yake", alisema Kamanda Ng'anzi.

Kwa upande wake, Naibu Waziri wa Elimu William Ole-Nasha amesisitiza kuwa, Wizara yake haiwezi kuvumilia walimu wanaofundisha watoto ambao pia ni kama wazazi wanaofumbia macho vitendo vichafu ambavyo vinarudisha nyuma sekta ya elimu na juhudi za serikali za kuhakikisha watoto wa kike  wanapata haki yao ya elimu.


Hivyo makala Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni

yaani makala yote Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mwalimu-mbakaji-wa-wanafunzi-atiwa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "Mwalimu mbakaji wa wanafunzi Atiwa Mbaroni"

Post a Comment

Loading...