MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06 - Hallo rafiki
SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts
makala afya,
makala general,
makala kisiasa,
makala kitamaduni,
makala kiuchumi,
makala mambo mapya,
makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.
title :
MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06link :
MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06
MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06
Na Zainab Nyamka, Globu ya Jamii.
MWANAMUZIKI nguli wa muziki wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Werrason Ngiama Makanda, amewasili nchini kwa ajili ya kufanya maonyesho tofauti katika mikoa ya Mwanza, Arusha na Dar es Salaam.
Werrason aliyewasili majira ya saa sita mchana akipokelewa na mamia ya watu pamoja na msanii wa muziki wa dansi nchini King Dodoo na mratibu wa ziara hiyo Lengos VIP.
Akizungumza baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere JKNIA, Werrason amesema kuwa amekuja kukata kiu ya wapenzi wa muziki wa dansi nchini ambao walimkosa katika shoo iliyopita.
Amesema kuwa shoo yake ya mwisho alishindwa kuja ila kwa sasa amekuja kuleta burudani iliyokosekana baada ya kushindwa kufika.
"Nimekuja kukata burudani ya wapenzi wa soka baada ya kukosekana kwa shoo ya mwisho ila sasa hivi nipo na nimeshafika hapa wajiandae kwa burudani,"amesema Werrason.
Naye Mratibu wa ziara ya mwanamuziki huyo, King Dodoo Labuche alisema kuwa mwanamuziki huyo amewasili tayari na ataondoka kesho mapema kuelekea Mkoani Arusha kwa ajili ya shoo ya Kwanza na kisha siku ya Jumamosi atakuwa mkoani Mwanza na ya mwisho atamalizia hapa Dar es Salaam.
"Werrason atafanya Shoo ya kwanza mkoani Arusha siku ya Ijumaa ya Julai 6 na siku ya pili ya Julai 7, atakuwa mkoani Mwanza huku onyesho la mwisho litafanyika Mkoani Dar es Salaam'"amesema King Dodoo.
Alisema mkoani Arusha Mwamuziki huyo atafanya onyesho kwenye ukumbi wa Mjengoni Club, wakati Mwanza atafanya mambo yake kwenye ukumbi wa Rock City na Mkoa wa Dar es Salaam Life Park uliopo Mwenge (zamani Word Cinema)..
Nguli huyo wa muziki wa dansi amekuja na jumla ya wanamuziki 22 pamoja na madansa wake ambao wote kwa pamoja watatoa burudani kwa wapenzi wa dansi nchini.
Werrason aliyeanzia katika bendi ya Wenge BCBG, miongoni mwa wanamuziki wa Congo wanaopata nafasi za kupata mwaliko wa kuja kutoa burudani hapa nchini, huku mratibu wa maonyesho hayo akiwataka mashabiki wajitokeze kupata burudani nzuri kutoka kwa nguli huyo.
Mratibu wa Ziara ya Mwanamuziki Werrason King Dodoo Labuche akizungumza na waandishi wa habari baada ya msanii huyo kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kwa ajili ya maonyesho yake sehemu tofauti nchini.
Mwanamuziki nguli wa muziki wa dansi kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Werrason Ngiama Makanda akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kwa ajili ya maonyesho yake sehemu tofauti nchini.
Hivyo makala MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06
yaani makala yote MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mwanamuziki-wa-drc-werrason-ngiama.html
Related Posts :
JESHI LA POLISI MAKAO MAKUU LAUNDA TIMU YA KUPELELEZA TUKIO LA TUNDU LISSU.
Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Simon Sirro akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo na kutangaza kuwa Jeshi la Po… Read More...
MFANYABIASHARA, MANJI HATAMBUI KUVULIWA UDIWANI KATA YA MBAGALA KUU.
Mfanyabiashara maarufu nchini, Yusuf Manji Mwenye Shati Nyeupe akitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Sal… Read More...
SHAKA AZINDUA PROGRAMU YA USHIRIKISHWAJI KWA VIJANA DODOMANa Mathias Canal, Dodoma
Kaimu Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa CCM) Shaka Hamdu Shaka (MNEC) Septemba 7, 2017 Amezindua P… Read More...
TRA, CTI WAKUTANA NA WADAU WAFANYABIASHARA KUJADILI NAMNA YA KUTATUA CHANGAMOTO MBALIMBALI ILI KUFIKIA UCHUMI WA VIWANDA WA KATI
Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Dkt. Adelhelm Meru, akizungumza wakati wa Mkutano wa Msamlaka ya Mapato Tanzania T… Read More...
MANJI SITAMBUI KUVULIWA UDIWANI.Mwambawahabari
Mfanyabiashara Yusuf Manji ameieleza Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo September 9, 2017 kuwa yeye bado ni Diwani wa Kata … Read More...
0 Response to "MWANAMUZIKI WA DRC WERRASON NGIAMA MAKANDA ATUA DAR, KUANZA NA ARUSHA KESHO JULAI 06"
Post a Comment