Loading...
title : MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8
link : MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8
MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8
Mwamba wa habariMwenge wa Uhuru umezindua na kukagua miradi sita yenye thamani ya shilingi billion 9.8 Wilayani Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Miradi iliyozinduliwa ni pamoja na Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Kigamboni litakalogharimu jumla ya shilingi bilioni 5.4, Jengo la Madarasa la ghorofa mbili katika Chuo cha Afya cha Kigamboni city College yenye thamani ya shilingi billion 2.7 na maabara ya kutotolesha, kiwanda cha kuhatarisha nataka cha Mema Holdings Ltd.
Miradi iliyo kaguliwa ni pamoja na mradi wa eneo la viwanda na sehemu soko la kuuza magari Kisarawe II unaotekelezwa na Ofisi ya Mkoa mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam kwa kushirikiana na kampuni ya City Property International Ltd.
Hatahivyo Kiongozi wa mbio za Mwenge kitaifa mwaka 2018 Charles Kabeho hakuweka jiwe la msingi mradi wa ujenzi wa shule ya Sekondari Kigamboni kutokana na kutokana na kukosa vigezo kwa kwakuwa jengo halijafikia katika usawa wa linta.
"Napenda kuwaongeza mradi huu ni mzuri nimeukagua nimejiridhisha haunadosali, ispkuwa katika taratibu za kuweka jiwe la msingi hajafika ili takiwa jengo lifike katika hatua ya linta" alisema Kabeho.
Pia amemwaagiza mkuu wa Wilaya ya Kigamboni Hashim Mgandilwa kufanyia tathimini mradi wa ugawaji Pikipiki 18 kwa vikundi vya Vijana.
"Usigawe hizi Pikipiki mpa pale utakapojiridhisha kuwa vikundi vyote vimesajiliwa kwa sababu fedha za mradi huu zinatokana na mgawo wa asilimia kumi za Halmashauri ni fedha za serikali lazima ziweze na maelezo ya kutosha" alisema.
Hivyo makala MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8
yaani makala yote MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8 Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8 mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/mwenge-wa-uhur-u-waingia-kigamboni.html
0 Response to "MWENGE WA UHUR U WAINGIA KIGAMBONI WAZINDUA MIRADI YENYE THAMANI YA SHILINGI BILION 9.8"
Post a Comment