Loading...

NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner

Loading...
NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner
link : NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner

soma pia


NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner

Na Ripota Wetu- Arusha
WAKATI Rais Dk. John Magufuli akitoa maelekezo ya kufikia watalii milioni 5 hadi ifikapo mwaka 2020, Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA) imeanza utekelezaji wa agizo hilo kwa kukutana na wawekeza katika sekta ya utalii.

Ili kuhakikisha mikakati hiyo inafikiwa Serikali tayari imeleta ndege kubwa Boeing 787 Dreamliner ambayo pamoja na mambo mengine itapanua wigo zaidi wa kubeba wageni wakiwamo watalii kutoka ndani na nje ya nchi.

Wakati mikakati hiyo ikiendelea kutekelezwa na Serikali, NCAA kwa upande wake nao imeanza utekelezaji huo wa kufikia watalii milioni 5 mwaka 2020 kupitia Jukwaa la Uwekezaji katika sekta ya utalii kwa eneo la Ngorongoro.

Akizungumza wakati wa ufunguzi wa Jukwaa hilo lililofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Arusha (AICC), mjini Arusha Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga alisema malengo hayo ni utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi (CCM).
 Naibu Mhifadhi wa NCAA Dk. Maurus Msuha akiwasilisha mada wakati wa Jukwaa la Wawekezaji katika sekta ya utalii kuhusu vivutio vipya vya utalii na uwekezaji kwenye eneo hilo la Ngorongoro.
 Mwenyekiti wa Baraza la Wafugaji Tarafa ya Ngorongoro Edward Maura akizungumza wakati wa Jukwaa la Wawekezaji wa sekta ya Utalii lililoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro mjini Arusha. 
  Naibu Mhifadhi wa Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (NCAA), Asangye Bangu akizungumza wakati wa Jukwaa la Wawekezaji katika Sekta ya utalii lilofanyika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa Arusha (AICC). 
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Japhet Hasunga katikati akifuatilia mada wakati wa Jukwaa la Wawekezaji wa Sekta ya Utalii mjini Arusha, kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Wizara hiyo Dk. Aloyce Nzuki kulia ni Mwenyekiti wa TATO Will Chambulo. 
 Viongozi wa Chama cha Mawakala wa Utalii (TATO), kutoka kushoto Katibu wa TATO Cyril Ako na Makamu Mwenyekiti wa TATO Henry Kimambo wakifuatilia mada kwenye Jukwaa la wawekezaji katika sekta ya utalii lililoandaliwa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro.

KUSOMA ZAIDI BOFYA HAPA


Hivyo makala NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner

yaani makala yote NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/ncaa-yaweka-mikakati-kuijaza-dreamliner.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NCAA yaweka mikakati kuijaza Dreamliner"

Post a Comment

Loading...