Loading...

NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM

Loading...
NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM
link : NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM

soma pia


NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM


Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) imefanya uteuzi madiwani nane (8) wanawake wa viti maalum kujaza nafasi wazi za madiwani katika halmashauri nane (8) za Tanzania bara.

Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa, Semistocles Kaijage amesema kuwa uteuzi huo umefanyika baada ya NEC kupokea taarifa kutoka kwa Waziri mwenye dhamana ya Serikali za Mitaa kuitaarifu Tume ya Taifa ya Uchaguzi uwepo wa nafasi wazi za Madiwani wanawake wa Viti Maalum

Jaji Kaijage amesema kwa kuzingatia masharti ya kifungu cha 13(1) cha Sheria ya Uchaguzi ya Serikali za Mitaa, Tume ilipokea taarifa ya uwepo wa nafasi wazi za Madiwani wanawake wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kufuatia walioteuliwa awali kufariki dunia au kujiuzulu.

Amewataja madiwani hao kuwa ni Ndugu Ajira Rajabu Kalinga(CCM-Halmashauri ya Wilaya ya Songea), Ndugu Mary Kazindogo Mbilinyi (CCM-Halmashauri ya Wilaya ya Makete), Ndugu Zainab Abdi Mabrouk (CCM-Halmashauri ya Manispaa ya Kongwa).

Wengine ni Ndugu Restuta Aloyce Gardian (CCM-Halmashauri ya Wilaya ya Muleba), Ndugu Siglinda Sylvesta Ngwega (CCM-Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro), Ndugu Zena Saadi Luzwilo (CCM-Halmashauri ya Mji Kahama), Ndugu Neema Michael Massawe (CHADEMA-Halmashauri ya Wilaya ya Monduli) na Ndugu Teodola Myula Kalungwana (CHADEMA-Halmashauri ya Manispaa ya Iringa).


Hivyo makala NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM

yaani makala yote NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/nec-yateua-madiwani-nane-8wanawake-wa.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "NEC YATEUA MADIWANI NANE (8)WANAWAKE WA VITI MAALUM"

Post a Comment

Loading...