Loading...
title : NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI
link : NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI
NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI
Kiongozi wa mbio za mwenge Charles Francis amegomea kuzindua jengo la Zahanati ya Mkoroshini (pichani) ilioyopo Msasani jijini Dar es Salaam kutokana na kutokidhi viwango vya ujenzi vya jengo hilo.
Vilevile limekuwa na gharama za juu kwenye ujenzi wa jengo hilo ambapo amewataka TAKUKURU kufuatilia suala hilo kwa undani ili kubaini yaliyomo ndani ya ujenzi huo na gharama kwa ujumla.
Vilevile limekuwa na gharama za juu kwenye ujenzi wa jengo hilo ambapo amewataka TAKUKURU kufuatilia suala hilo kwa undani ili kubaini yaliyomo ndani ya ujenzi huo na gharama kwa ujumla.
Hivyo makala NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI
yaani makala yote NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/newz-alert-kiongozi-mbio-za-mwenge.html
0 Response to "NEWZ ALERT: KIONGOZI MBIO ZA MWENGE AGOMA KUZINDUA JENGO LA ZAHANATI MSASANI"
Post a Comment