Loading...
title : NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
link : NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
Afisa fao la Matibabu kutoka Mfuko wa Hifadhi ya Jamii wa NSSF ,Aisha Nyasana akizungumza na Mmoja wa Wanufaika kuhusu Faida ya fao hilo kwa familia.
Afisa Mkuu Mwandamizi Kitengo cha Hiyari NSSF Makao Makuu, Abas Cothema akitoa elimu kwa mmoja wa Wajasiliamali waliofika katika banda hilo kwenye Maonesho ya 42 ya Sabasaba
Afisa wa Fao la nje kitengo cha WESTADI Makao Makuu, Halima Mgalla akizungumza na wateja waliotembelea katika dawati lake kufahamu zaidi kuhusu fao hilo la nje ya nchi
Baadhi ya wateja waliofika katika Banda la NSSF lilipo kwenye Maonesho ya Sabasaba wakipatiwa huduma
Baadhi ya Wafanyakazi wa Mfuko wa Jamii wa NSSF Wakiwa katika picha ya pamoja mbele ya ofisi ya Mapokezi katika banda lao la Maonesho ya 42 ya Sabasaba yanayoendelea Dar es Salaam.
Hivyo makala NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA
yaani makala yote NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/nssf-yaja-na-huduma-kwa-wajasiliamali.html
0 Response to "NSSF YAJA NA HUDUMA KWA WAJASILIAMALI KWENYE MAONESHO YA SABASABA"
Post a Comment