Loading...

OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA

Loading...
OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA
link : OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA

soma pia


OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA

Na Rhoda Ezekiel Kigoma.

JUMLA ya wahamiaji Wasio rasmi 1054 Wamekamatwa katika Wilaya ya Buhigwe na Kasulu mkoani kigoma, Kwa kipindi cha Mwaka mmoja katika oparesheni zilizofanywa na Kamati ya Ulinzi na usalama ya Wilaya hizo.

Akimkaribisha Waziri Mkuu katika Wilaya ya Buhigwe Mkuu wa Wilaya ya Kasulu na Buhigwe Brigedia Jenerali Marco Gaguti alisema wameendelea kuimalisha ulinzi na usalama katika Wilaya hizo kuhakikisha Wananchi wanafanya shughuli zao kwa amani na utulivu na kuendelea kupambana na vitendo vya uhalifu na uingizwaji wa silaha kiholela .

Alisema kutokana na Muingiliano uliopo baina ya Wilaya hizo na Nchi jirani ya Burundi, kumekuwa na Wahamiaji haramu wengi wanaoingia Nchini bila vibali na wengine wamekuwa wakishirikiana na Watanzania kufanya vitendo vya utekaji kwa kutumia silaha ambapo Wamejitahidi kuzuia vitendo hivyo kwa kuwakamata wote wanaoingia bila Vibari Nchini .

"Kwa sasa hali ya ulinzi na usalama Imeendelea kuimarika na Wananchi wameendelea kuiunga mkono serikali kwa kutoa taarifa endapo wanamuhofia mtu anapoingia katika maeneo yao na tumefanikiwa katika hili na kwasasa hakuna malalamiko yoyote ya uvunjifu wa amani kutoka Kwa Wananchi", alisema Brigedia Jenerali Gaguti. 

Nae Waziri Mkuu Kasimu Majaliwa aliwataka Polisi kwa kushirikiana na Maafisa uhamiaji kudhibiti njia ambazo sio rasmi katika Wilaya ya Buhigwe kwaajili ya kuzuia silaha zinazoingizwa Nchini kiholela na watu wanaingia bila vibali.Alisema Serikali inampango wa kuifanya mji wa Manyovu kuwa mji wa biashara hovyo jeshi la polisi wanatakiwa kuwa macho kwaddhibiti vizuizi hivyo ilikuhakikisha wote wanaoingia Nchini wanakuwa na vibali na kudhibiti silaha zilizopo katika Nchi jirani kuingia Nchini.

" Tunajua Wilaya hii inachangamoto ya muingiliano Mkubwa na ndugu zetu wa Nchi jirani, Leo hii Tanzania tunarekodi mbaya ya kumiliki silaha kinyume na taratibu zote hizi zinatoka Nchi za jirani na kufanya uharifu wa kutumia silaha", alieleza Waziri Mkuu."Lazima jeshi la polisi Muandae mipaka iliyo rasmi ilikudhibiti haya uwezo huo mnao hatutaki kuona uhalifu unaendelea kuingia Nchini jeshi la polisi kazi yenu ni kulinda amani na jukumu hili ninlakwenu", alisema.

Alisema Serikali ya Tanzania inamahusiano mazuri na Nchi jirani hivyo mahusiano hayo yaendelee lazima utaratibu uwekwe na usalama uimalishwe.


Hivyo makala OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA

yaani makala yote OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/oparesheni-maalumu-yanasa-wahamiaji.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "OPARESHENI MAALUMU YANASA WAHAMIAJI WASIO RASMI 1054 WILAYANI BUHIGWE/KASULU MKOANI KIGOMA"

Post a Comment

Loading...