Loading...

RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA.

Loading...
RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA. - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA.
link : RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA.

soma pia


RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA.


Aliyewahi kuwa Mwenyiki wa klabu ya Simba, amepingana na katiba mpya ya Simba iliyosajiliwa mwaka huu kumtaka mgombea Urais kuwa na kiwango cha elimu ya shahada.

Rage amefunguka na kueleza watu wengi waliopo Simba hawajaenda shule hivyo katiba inakuwa kama haiwatendei haki wanachama wake wanaotaka kugombea nafasi hiyo.

Kutokana na kiwango cha elimu kubadilishwa kutoka kidati cha nne mpaka shahada, kimemuibua tena Rage ikiwa ni siku chache katiba hiyo imetoka kusajiliwa.

Hata hivyo kauli ya Rage inakosa nguvu kutokana na Msajili wa Vyama vya Michezo Nchini, Ibrahim Mkwawa kutamka kuwa katiba ya Simba itakayotumika katika uchaguzi ujao ni ya mwaka 2018 na si ya 2014.

Wakati rage akifunguka hayo, uongozi wa Simba unatarajia kukutana mwisho wa mwezi huu kuanza mchakato rasmi wa uchaguzi mkuu ili kuwapata viongozi wengine ambao wataingoza klabu kwa miaka minne ijayo.


Hivyo makala RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA.

yaani makala yote RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rage-apinga-katiba-mpya-simba.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "RAGE APINGA KATIBA MPYA SIMBA."

Post a Comment

Loading...