Loading...
title : RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
link : RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe pamoja na Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa pamoja na viongozi wengine mara baada ya kuwasili kwa Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikagua ndege hiyo mpya na yakisasa aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akimpongeza mmoja wa Marubani aliyekuja na ndege hiyo (haonekani pichani )mara baada ya kuwasili katika katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam.
Ndege mpya aina ya Boeng 787-8 Dreamliner ambayo imenunuliwa na Serikali ikiwasili katika uwanja wa ndege wa wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA
yaani makala yote RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-magufuli-apokea-ndege-mpya-ya.html
0 Response to "RAIS MAGUFULI APOKEA NDEGE MPYA YA BOENG 787-8 DREAMLINER ILIYONUNULIWA NA SERIKALI YA TANZANIA"
Post a Comment