Loading...
title : RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI
link : RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI
RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akilakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 yaNelson Mandela

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akipewa zawadi na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 yaNelson Mandela

Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe.Anna Mghwira mara baada ya kulakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga (pichani kushoto), alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 yaNelson Mandela
Rais Mstaafu wa Marekani Mhe. Barack Obama akisalimiana na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro ACP,Hamisi Issa mara baada ya kulakiwa na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Augustine Mahiga (pichani kushoto), alipowasili uwanja wa ndege wa kimataifa ya Kilimanjaro (KIA) akitokea hifadhi ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara alikotalii yeye na familia yake kwa muda wa siku nane, kabla ya kuelekea Afrika Kusini kwenye maadhimisho ya miaka 100 yaNelson Mandela.PICHA NA IKULU
Hivyo makala RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI
yaani makala yote RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-mstaafu-wa-marekani-barack-obama.html
0 Response to "RAIS MSTAAFU WA MAREKANI BARACK OBAMA ASIFIA VIVUTIO VYA UTALII TANZANIA BAADA YA KUMALIZA ZIARA BINAFSI YA SIKU NANE NCHINI"
Post a Comment