Loading...
title : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja.
link : Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akisalimiana na Viongozi mbali mbali katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein pamoja na Watendaji wengine wa Serikali,[PRais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kushoto) katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (kulia) pamoja na Watendaji wengine wa Serikali.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (kushoto) akiagana na Makamu wa Pili wa Rais Mhe.Balozi Seif Ali Iddi (kulia) katika Uwanja wa Ndge wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume alipokuwa akiondoka Nchini leo kuelekea Indonesia katika ziara ya Kikazi akifauatana na Mkewe Mama Mwanamwema Shein (hayupo pichani) pamoja na Watendaji wengine wa Serikali,[Picha na Ikulu.] 30/07/2018
Hivyo makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja.
yaani makala yote Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja. Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja. mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rais-wa-zanzibar-na-mwenyekiti-baraza.html
0 Response to "Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti Baraza la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein, Aondoka Zanzibar Akiendelea Nchini Indonesia Kwa Ziara ya Wiki Moja."
Post a Comment