Loading...

RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA .

Loading...
RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA . - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA ., tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA .
link : RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA .

soma pia


RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA .



Mwambawahabari

Kwa niaba ya Wananchi wa Mkoa wa Dar es salaam napenda kumpongeza  Rais wetu Mpendwa Dkt. John Magufuli  kwa kufanikisha  utilianaji saini Baina ya Serikali ya  Tanzania na Korea Kusini kuashiria kuanza kwa  ujenzi wa Daraja la Salender litakaloanzia Coco Beach hadi Agha Khan hospital kupitia bahari ya Hindi  ambalo litasaidia kwa kiasi kikubwa  kupunguza tatizo la msongamano wa magari lililokuwa likipelekea  upotevu wa mabilioni   ya shilingi.


Rais Dkt. John Magufuli  ameamua kutujengea Daraja hili la kisasa baada ya kujionea  adha ya foleni inayowasumbua watumiaji wa Daraja lililopo sasa  ambalo kimsingi ni  finyu  na haliwezi kumudu idadi kubwa ya magari yaliyopo sasa.

Mbali na  kupunguza foleni ujenzi wa daraja hili la kisasa litasaidia kuboresha mandhari ya Jiji letu la Dar es Salaam huku wananchi tukiombwa kuendelea kutoa ushirikiano wakati wote wa ujenzi na kuendelea kuweka jiji letu safi kwani mji wetu Ndio  kitovu cha biashara na uchumi wa taifa letu

Ujenzi wa  Daraja la Salenda  utagharimu zaidi ya  Shilingi Billion 250  ambapo itachukuwa muda wa  miezi 36 hadi kukamilika  na litakuwa na  urefu wa Km 1.03 kwa upande wa Bahari ni  huku likiwa na uwezo wa kuhimili zaidi ya  Tani 180 kwa wakati mmoja na  magari zaidi ya 55,000 kwa siku.



Hivyo makala RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA .

yaani makala yote RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA . Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA . mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/rc-makonda-ampongeza-rais-magufuli.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "RC MAKONDA AMPONGEZA RAIS MAGUFULI KUFANIKISHA HATUA ZA KUANZA KWA UJENZI WA DARAJA LA SALENDA ."

Post a Comment

Loading...