Loading...

Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi

Loading...
Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi
link : Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi

soma pia


Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi

Mchezaji wa Tenis Serena Williams alirudi katika tenisi mwezi Februari baada ya likizo ya mwaka ,mmoja ambapo alimzaa mwanawe wa kwanza.

Serena Williams amesema kuwa yeye ni mwathiriwa wa ubaguzi kwa kuwa ndiye mchezaji anayefanyiwa vipimo vya mara kwa mara vya matibabu ikilinganishwa na mchezaji mwengine yeyote yule katika mchezo wa tenisi nchini Marekani.
Bingwa huyo mara 23 wa taji la Grand Slam alitoa madai hayo katika ujumbe wa twitter baada ya maafisa wa kukabiliana na dawa za kusisimua misuli kumtembelea.
Raia huyo wa Marekani alikuwa ameonyesha kukerwa kuhusu kiwango cha vipimo anavyofanyiwa mapema mwezi huu.
"Kati ya wachezaji wote imethibitishwa kuwa mimi ndio nafanyiwa vipimo vingi zaidi, Ubaguzi nadhani,'' alisema mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 36.
Taarifa iliochapishwa na tovuti ya Deadspin mwezi Juni ilibaini kwamba Williams amepimwa licha ya kutokuwa katika mashindano na shirika la kukabiliana na utumizi wa dawa za kusisimua misuli la Marekani katika matukio matano 2018.
Pia limedai kwamba mchezaji huyo hakuwepo wakati maafisa wa Usada walipomtembelea nyumbani mnamo tarehe 14 mwezi Juni -mtu anayefanya vipimo hivyo aliwasili nyumbani kwake saa 12 mapema zaidi ya muda walioafikiana.
Baadaye vipimo hivyo viliorodheshwa kuwa 'vipimo ambavyo havikufanyika-vitatu kati ya hivyo vilikiuka vipimo vya Usada 
Wakati wa kuchapishwa kwa taarifa hiyo ya Deadspin, Williams alifanyiwa vipimo mara mbili zaidi ya wachezaji wengine nyota -ikiwemo wanaume na wanawake-pamoja na bingwa wa taji la US Open Sloane Stephens na dadake Venus Williams.
Williams aliulizwa kuhusu matokeo ya ripoti hiyo wakati wa mashindano ya Wimbledon mapema msimu huu wa joto.
"Sikujua kwamba nilifanyiwa vipimo mara nyingi zaidi ya mchezaji mwengine yeyote yule'' , alisema bingwa huyo mara saba ambaye alipoteza kwa Mjerumani Angelique Kerber katika fainali.


Hivyo makala Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi

yaani makala yote Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/serena-williams-asema-anabaguliwa.html

Subscribe to receive free email updates:

0 Response to "Serena Williams asema 'anabaguliwa' katika vipimo vya kubaini utumizi wa dawa za kusisimua misuli katika tenisi"

Post a Comment

Loading...