Loading...
title : Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China
link : Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China
Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China
Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mhe Dk Sira Ubwa Mamboya akiwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed wakiweka alama katika mkuku wa Meli mpya Mafuta ya Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika eneo Maalum la utengenezaji Meli ya Kampuni ya DAMEN ya Uholanzi katika Mji wa Yichang, Hubei China
Ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ukiongozwa na Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed ( wa Kwanza Kulia) akifuatiwa na Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya. Wengine ni Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan, Katibu ( Mtendaji Tume ya Mipango, Juma Reli na Katibu Mkuu Wizara Fedha na Mipango, Khamis Mussa.(Mbele kabisa) ni Katibu Mkuu Wizara Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Mustafa Aboud Jumbe
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe Dk Khalid Salum Mohammed ( Kulia) akiongoza Ujumbe wa SMZ katika sherehe za ukataji vyuma na kuviunganisha kuwekwa mkuku katika Meli mpya ya Mafuta ya Serikali. ( Katikati)ni Waziri wa Ujenzi Mawasiliano na Usafirishaji Dk Sira Ubwa Mamboya na ( Kushoto) Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe Said Hassan wakiwa Nchini China ambapo Meli hiyo inayotemgenezwa na Kampuni ya DAMEN ya Uholanzi
Hivyo makala Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China
yaani makala yote Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/sherehe-za-uwekaji-mkuku-kwa-meli-mpya.html
0 Response to "Sherehe za uwekaji Mkuku kwa meli mpya ya Mafuta ya Zanzibar zafanyika nchini China"
Post a Comment