Loading...

SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA

Loading...
SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA - Hallo rafiki SOMA LATEST, Katika makala kusoma wakati huu na kichwa SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA, tumeandaa vizuri kwa makala hii kusoma na kupakua maelezo humo. pengine kujaza posts makala afya, makala general, makala kisiasa, makala kitamaduni, makala kiuchumi, makala mambo mapya, makala michezo, sisi kuandika anaweza kuelewa. Naam, furaha ya kusoma.

title : SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA
link : SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA

soma pia


SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA

Mabingwa wa Ligi Kuu Bara nchini, Simba SC, wameshusha kiungo mshambuliaji mpya kutoka Dyanamos FC ya Zambia, Chama Clatous na taarifa zinaeleza tayari ameshamalizana na mabosi wa klabu hiyo.

Ujio wa Clatous Simba umetokana na pendekezo la Kocha Msaidizi, Masoud Djuma ambaye aliomba asajiliwa kiungo mwingine ili kuja kukupa nguvu kikosi cha Simba kuelekea msimu ujao wa Ligi Kuu.

Taarifa za ndani kutoka Simba zinasema tayari Clatous ameshamwaga winno na atakuwa sehemu ya wachezaji wataokwea pipa kesho kuelekea Uturuki kuweka kambi ya wiki mbili kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba imekuwa ikitumia jeuri ya fedha za tajiri Mohammed Dewji ambaye ndiye mwekezaji mkuu wa klabu hiyo sasa kusajili wachezaji ambapo imeamua kukipa upana mkubwa kwa ajili ya ligi na mashindano ya kimataifa.

Ujio wa Mzambia huyo unazidi kuongeza idadi ya viungo Simba ambapo baadhi wanaocheza katika nafasi hiyo ni pamoja na Shiza Kichuya, Jonas Mkude, James Kotei na  Mzamiru Yassin


Hivyo makala SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA

yaani makala yote SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.

Wewe ni sasa kusoma makala SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/simba-yashusha-kiungo-kutoka-mzambia.html

Subscribe to receive free email updates:

Related Posts :

0 Response to "SIMBA YASHUSHA KIUNGO KUTOKA MZAMBIA"

Post a Comment

Loading...