Loading...
title : SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL
link : SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL
SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akisalimiana na Ndg. David Mollel mume wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe. Ruth Mollel alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI). Kushoto ni Mhe. Ruth Mollel.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai ( wa pili kushoto) akimsikiliza Ndg. David Mollel (wa kwanza kulia) mume wa Mbunge wa Viti Maalum(CHADEMA) Mhe. Ruth Mollel alipokwenda kumjulia hali katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) . Wengine katika picha ni Katibu wa Bunge Ndg Stephen Kagaigai (wa pili kulia) na Mhe Ruth Mollel (wa kwanza kushoto).
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (katikati) akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof Mohamed Janabi alipokutana naye hospitali hapo. Kulia ni Katibu wa Bunge Ndg. Stephen Kagaigai.
Spika wa Bunge Mhe. Job Ndugai (kushoto) akiteta jambo na Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) Prof Mohamed Janabi alipokutana naye hospitali hapo.PICHA NA BUNGE
Hivyo makala SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL
yaani makala yote SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/spika-ndugai-afika-taasisi-ya-moyo-ya.html
0 Response to "SPIKA NDUGAI AFIKA TAASISI YA MOYO YA JAKAYA KIKWETE KUMJULIA HALI MUME WA MHE. RUTH MOLLEL"
Post a Comment