Loading...
title : TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA
link : TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA
Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imepokea fursa za ufadhili wa masomo katika kozi mbalimbali kutoka Serikali ya Saudi Arabia.
Mafunzo hayo yatatolewa katika Chuo Kikuu cha Imam Abdulrahman bin Faisal kilichopo Saudi Arabia. Taarifa kamili kuhusu ufadhili, kozi na taratibu zote za namna ya kuomba zinapatikana kupitia tovuti ya Chuo hicho www.iau.edu.sa
Imetolewa na:
Kitengo cha Mawasiliano ya Serikali,
Wizara ya Mambo ya Nje Na Ushirikiano wa Afrika Mashariki,
Dar es Salaam
12 Julai, 2018
|
Hivyo makala TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA
yaani makala yote TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA Wakati huu, pengine unaweza kutoa faida na wewe wote. Sawa, kuona katika post nyingine makala.
Wewe ni sasa kusoma makala TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA mahali kiungo https://somalatest.blogspot.com/2018/07/taarifa-kwa-vyombo-vya-habari-kuhusu.html
0 Response to "TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU FURSA ZA MASOMO SAUDI ARABIA"
Post a Comment